- 170,416 viewsDuration: 2:25Maafisa wa polisi eneo la Bamburi, Kaunti ya Mombasa, wanachunguza kisa cha msichana aliyepooza ubongo baada ya kuandaa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa mapema mwaka huu. Rose Mwende Mala amesalia kitandani baada ya kudaiwa kupewa kemikali hatari na marafiki aliokuwa nao kwenye sherehe hiyo. Francis Mtalaki ana taarifa zaidi kutoka Mombasa.