Skip to main content
Skip to main content

Polisi wafukua mwili wa mwanamke anayedaiwa kuuawa na kuzikwa nyumbani Kajiado

  • | Citizen TV
    11,719 views
    Duration: 3:02
    Polisi katika eneo la Isinya, Kaunti ya Kajiado, wamefukua mwili wa mwanamke anayesadikiwa kuuawa na kuzikwa nyumbani kwake katika eneo la Entarak uet, Kajiado Mashariki. Mwili huo umefukuliwa kufuatia agizo la Mahakama ya Kajiado mapema leo, huku washukiwa wakuu, akiwemo mume wa marehemu, wakizuiliwa kwa muda zaidi.