- 278 viewsDuration: 4:42Maafisa wa polisi wametakiwa kutumia mbinu mbadala wanapokabiliana na wanaokiuka sheria badala ya kutumia nguvu kupita kiasi.Huku Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, juhudi za kuimarisha imani ya wananchi kwa polisi, mshikamano wa kijamii na kuishi kwa amani zinaendelea kushika kasi. Kupitia michezo na majadiliano, maafisa wa polisi na wanajamii walipata fursa adimu mtaani mukuru kwa njenga kutangaman na kutafuta mwafaka wa utovu wa usalama na kuimarisha uhusiano wao wa kila siku.