5 Nov 2026 1:12 pm | Citizen TV 5,530 views Duration: 1:43 Maafisa wa polisi mjini Madogo kaunti ya Tana River wanawazuilia vijana 17 wanaotuhumiwa kuhusika kwenye msururu wa visa vya uhalifu pamoja na mauaji katika eneo hilo.