Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamwaga lita 2,000 za pombe haramu iliyoharibika Nanyuki

  • | Citizen TV
    497 views
    Duration: 1:28
    Maafisa wa polisi mjini Nanyuki wamwaga zaidi ya lita 2,000 za pombe haramu na ambazo zilikwisha muda wa matumizi, zoezi ambalo lilifanyika baada ya mahakama kuamuru vielelezo hivyo kuteketezwa.