- 353 viewsDuration: 2:11Rais William Ruto asisitiza haja ya kuhakikisha haki yapatikana kwa haraka katika idara ya mahakama. Akizungumza alipofungua kongamano la majaji wakuu wa Afrika kuhusu haki mbadala hapa jijini Nairobi, rais aitaka idara hiyo kuzingatia ubora wa mifumo ya haki ili kupunguza visa vya kucheleshwa kwa kesi na kupunguza gharama za kutafuta haki mahakamani.