Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amesema safari zake zimeendelea kuwafaidi Wakenya

  • | Citizen TV
    1,990 views
    Duration: 2:53
    Rais Ruto ametetea safari zake za nje ya nchi akisisitiza zina manufaa makubwa kwa maendeleo ya wakenya. Akizungumza wakati wa kuchangisha pesa katika kanisa la SDA Huko Nkashura kaunti ya kajiado, Rais amesistiza kwamba safari zake zimeendelea kuzalisha mazuri kwa wakenya. pia ruto ametetea bajeti ya shilingi trilioni 4.8 iliyowasilishwa bungeni