Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amtetea naibu wake kutokana na shutma za upinzani

  • | KBC Video
    3,306 views
    Duration: 3:47
    Rais William Ruto ametoa wito wa kudumishwa kwa nidhamu katika kuendesha siasa humu nchini. Rais alimtetea naibu wake ambaye hivi majuzi amekuwa akiangaziwa na kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua, akimtaja kuwa kiongozi mwenye bidii na mnyenyekevu ambaye hastahili kudhihakiwa na umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News