Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema wahalifu wa maandamano ya ukumbusho wa juni 25 watakabiliwa kisheria

  • | Citizen TV
    4,754 views
    Duration: 1:07
    Rais willim Ruto awaonya vikali wale wapangao kuzua vurugu au kuharibu mali ya watu kwenye maandamano yapangiwayo kufanyika ya ukumbusho wa juni 25. akizungumza kwenye kikao cha kutathmini uzalishaji na utendakazi wa kitaifa katika ikulu ya Nairobi, rais asema ni jukumu la serikali kulinda biashara na mali ya wakenya wakati wote