Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awarai vijana kuwajibikia matendo yao

  • | Citizen TV
    3,440 views
    Duration: 2:32
    Rais William Ruto amewarai vijana kuwajibikia matendo yao na kujizuia kusababisha ukosefu wa amani wanapotekeleza haki na uhuru wao wa kuandamana. Rais Ruto aliyezungumza ikulu ya nairobi akionekana kubadili mkondo wa matamshi yake na sasa kuwarai baada ya kuwaonya vijana, akiwataka kuwa wazalendo na kujiepusha na kubomoa nchi. Rais amezungumza alipoongoza halfa ya 95 ya st. John ambulance na kutoa zawadi za mamilioni