29 Sep 2026 1:10 pm | Citizen TV 4,433 views Duration: 1:32 Rais William Ruto sasa anasema baadhi ya viongozi wa upinzani ndiyo wamepeleka kesi mahakamani kuzuia kuendelea kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha lamu, akisema hataruhusu viongozi hao kuhujumu uchumi wa taifa.