Skip to main content
Skip to main content

Raymond Omollo awataka wakazi wa Khwisero na Kisa West kushirikiana kukomesha pombe haramu

  • | Citizen TV
    264 views
    Duration: 1:06
    Katibu wa wizara ya usalama daktari Raymond Omollo amewataka wakazi wa Khwisero na Kisa west kaunti ya kakamega kushirikiana na vyombo vya usalama ili kukomesha pombe haramu eneo hilo. Kulingana na Omollo serikali imepiga hatua kubwa ya kumaliza wizi wa mifugo eneo la kisa west na sasa kilichosalia ni kero ya pombe haramu.