9 Nov 2026 1:09 pm | Citizen TV 328 views Duration: 1:09 Katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo amefungua rasmi awamu ya 12 ya programu ya usimamizi na uratibu wa mipaka nchini katika chuo cha mafunzo ya huduma za serikali hapa jijini Nairobi.