- 1,462 viewsDuration: 5:06Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameishutumu serikali kwa kile alichodai kuwa ni kuilenga jamii ya Wasamburu, baada ya mamia ya mifugo ya jamii hiyo kuripotiwa kupigwa risasi katika tukio la wiki iliyopita huko Samburu, wakati wa operesheni ya polisi ya kudumisha usalama.