Skip to main content
Skip to main content

Royal Media Services yang’ara katika Tuzo za Umahiri wa Vyombo vya Habari

  • | Citizen TV
    1,070 views
    Duration: 4:19
    Na sasa kwa taarifa ya sherehe na mbwembwe. Kampuni ya Royal Media Services ilijizolea tuzo kadhaa katika hafla ya mwaka huu ya Tuzo za Umahiri wa Vyombo vya Habari iliyoandaliwa na Baraza la MCK. Wanahabari wa Royal Media wakitamba katika tuzo ambazo hutambua na kupongeza habari na taarifa zinazoweka juhudi za kutafuta uwajibikaji wa viongozi, zinazopaza sauti ya jamii na kukumbusha kuwa ukweli bado una umuhimu mkubwa