- 9,684 viewsDuration: 1:42Rais william ruto ameendelea kuukashifu muungano wa upinzani akisema hauna sera wala mipango ya miradi ya maendeleo ila kujitakia makuu kwa kugawana vyeo. akihutubia wakazi wa Nyangori huko Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira, rais ruto amemkashifu kinara wa DCP Rigathi gachagua akidai kuwa alifukuzwa serikali kwa sababu ya kushindwa na kazi na kukosana na watu hulka ambayo anaiendeleza miongoni mwa viongozi wa upinzani.