Skip to main content
Skip to main content

Ruto ajitosa vitani dhidi ya wapinzani kuelekea 2027

  • | Citizen TV
    11,526 views
    Duration: 2:48
    Rais William Ruto amesema yuko tayari kukabiliana na wapinzani wake kwenye debe mwaka ujao, akisema muungano wa ODM na UDA utapata ushindi wa mapema. Akizungumza katika Kaunti ya Kisumu, alikoendelea na ziara yake ya Nyanza, Rais Ruto ametetea mradi wake wa nyumba za serikali, akisema utabadilisha sura ya Kenya.