Skip to main content
Skip to main content

Ruto amshambulia Gachagua kwa madai ya utapeli wa kisiasa

  • | Citizen TV
    16,037 views
    Duration: 3:18
    Rais William Ruto leo ameendelea kumrushia cheche aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, akimtaja kuwa tapeli wa kisiasa. Ruto, aliyeendelea na ziara yake katika eneo la Gusii, alitumia fursa hiyo kuorodhesha kile anachodai kuwa ni mbinu ambazo Gachagua amekuwa akitumia kuwatapeli wanasiasa. Chrispine Otieno anarifu zaidi.