Skip to main content
Skip to main content

Ruto aonya dhidi ya vurugu katika maadhimisho ya Juni 25

  • | Citizen TV
    8,709 views
    Duration: 3:06
    Rais William Ruto ametoa onyo kali kwa waandamanaji watakaovuruga amani wiki ijayo kwenye maadhimisho ya Juni 25, akisema watakabiliwa kisheria. Akizungumza katika mikutano tofauti katika Kaunti ya Nandi na Nairobi leo, Rais Ruto pia amesema wanasiasa watakaofadhili maandamano hayo watachukuliwa hatua. Aidha, amesema serikali inaendelea kutoa fidia kwa waathiriwa kama sehemu ya juhudi za kufunga ukurasa wa dhuluma