15 Sep 2026 10:50 am | Citizen TV 983 views Duration: 1:08 Baadhi ya viongozi wa chama cha UDA katika kaunti ya Garissa wameendeleza kampeni za kumpigia debe Rais William Ruto kwa awamu yake ya pili uongozini wakisema ameimarisha hali ya usalama na kuleta maendeleo eneo hilo.