15 May 2026 7:52 pm | Citizen TV 331 views Duration: 1:33 Rais William Ruto amesema kuwa serikali yake inaendelea kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu kama njia ya kuhakikisha usawa wa fursa kwa wanafunzi kutoka jamii mbalimbali nchini.