- 2,527 viewsDuration: 3:20Rais William Ruto ameiagiza Idara ya Polisi kuwakabili wahuni na kudhibiti vitendo vya uhalifu. Akizungumzia suala hilo kwa mara ya kwanza tangu uvamizi uliozua taharuki katika All Saints Cathedral Ijumaa iliyopita, Rais pia ametaka wanasiasa wanaodaiwa kufadhili magenge hayo kuchukuliwa hatua za kisheria.