- 1,050 viewsDuration: 2:41Rais William Ruto ameahidi mikopo ya nafuu na manufaa mengine mapya kwa watengenezaji bidhaa humu nchini. Rais, akizungumza hapa Nairobi, amesema serikali yake inaimarisha mikakati ya kukuza uzalishaji ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na hata la kimataifa. Jasmine Wambui.