Skip to main content
Skip to main content

Ruto atetea safari zake za nje ya nchi

  • | Citizen TV
    5,380 views
    Duration: 3:00
    Rais William Ruto ametetea safari zake za mara kwa mara nje ya nchi akisema yeye ni Balozi mkuu wa nchi na kwamba safari hizo si za mapumziko. Katika mkutano na viongozi kutoka Marsabit katika Ikulu ya Nairobi, Rais alisema wale wanaosema yeye ni mwongo wanapaswa kuangalia rekodi yake ya maendeleo.