Skip to main content
Skip to main content

Ruto awaonya Wakenya kuhusu viongozi wanaowania urais 2027

  • | Citizen TV
    5,764 views
    Duration: 1:59
    Rais William Ruto amewataka Wakenya kuwa makini na baadhi ya viongozi wanaotaka uongozi katika uchaguzi mkuu ujao. Rais, akizungumza Ikulu mapema leo, ametetea utendakazi wa serikali yake na kuendeleza shutuma dhidi ya upinzani, akisema hauna maono yoyote kwa Wakenya. Bonface Barasa ana taarifa zaidi.