Skip to main content
Skip to main content

Ruto awashambulia viongozi wa upinzani Kakamega

  • | Citizen TV
    5,945 views
    Duration: 2:41
    Rais william Ruto sasa amesema kuwa viongozi wa upinzani ni kero tu kwa wakenya. Rais Ruto, ambaye alikuwa huko kakamega amesema kuwa viongozi hao wanazurura pembe mbalimbali za nchi bila kutoa suluhu yoyote kw amasuala yanayowahusu wakenya, ajenda yao kuu ikiwa tu ni kuikosoa serikali. Akionyesha kughabishwa na ziara hizo, Rais ameahidi kuwaonyesha kivumbi kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kamau Mwangi na taarifa hiyo.