- 1,359 viewsDuration: 2:23Rais William Ruto amewashutumu viongozi wa Upinzani kwa kile alichosema ni kukosa kuipa kipaumbele maendeleo ya nchi. Akizungumza na viongozi kutoka kaunti ya Bungoma katika ikulu ya Nairobi, Rais aliwarai Wakenya kupuuzilia mbali wito wa Umoja wa Upinzani wa kuleta mabadiliko kupitia uchaguzi mkuu, akisisitiza kuwa mrengo huo unalenga kujinufaisha na wala sio kumfaidi mwananchi wa kawaida