- 3,545 viewsDuration: 2:52Rais William Ruto amewarushia vijembe viongozi wa upinzani ambao anasema wanazidi kueneza siasa za kuwagawanya Wakenya kwa misingi ya kikabila. Akizungumza katika Kaunti ya Embu, Rais Ruto amewataka Wakenya kuwakwepa viongozi hao, akielezea imani kuwa atawabwaga kwenye uchaguzi mkuu ujao. Stephen Letoo anatuarifu zaidi kwenye taarifa ifuatayo.