Skip to main content
Skip to main content

Ruto azidisha shutuma dhidi ya upinzani wakati wa ziara Narok

  • | Citizen TV
    4,656 views
    Duration: 2:30
    Rais William Ruto ameendeleza shutuma dhidi ya wanasiasa wa upinzani akisema hawana sera wala mwelekeo wa maendeleo ya wakenya. Badala yake, Rais Ruto akiyezuru kaunti ya Narok hii leo akiwalaumu kwa siasa ambazo anasema hazina mpango ila kuipinga serikali yake. Kwenye ziara yake, Rais pia alitangaza kushushwa kwa bei ya mbolea