- 112 viewsRais William Ruto anaendelea na ziara yake eneo la Nyanza kwa siku ya nne hii leo. Mapema Jumatano kiongozi wa taifa alianza ziara yake kule maeneo ya Awendo Kaunti ya Migori alikozindua mradi wa ujenzi wa barabara ya Kanyawanga- Kuoyo- Madiaba itakayo gharimu kitita cha ksh 2.2B.