Skip to main content
Skip to main content

Ruto na Museveni wazindua ujenzi wa reli mpya ya SGR

  • | BBC Swahili
    19,239 views
    Duration: 1:26
    Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na mwenzake wa Kenya Rais William Ruto wamezindua ujenzi wa reli mpya ya SGR ya kilomita 107 kutoka Kisumu kuelekea mpaka wa Kenya na Uganda wa Malaba. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw