Skip to main content
Skip to main content

Ruto: Nitakabiliana na upinzani debani 2027

  • | Citizen TV
    1,443 views
    Duration: 1:11
    Rais William Ruto amewarai wakenya kuwapuuza viongozi wa upinzani, akisema wanawachezea mchezo wa pata potea. akizungumza katika ziara yake ya kaunti ya Siaya, rais William Ruto amesema yuko tayari kukabiliana na upinzani debeni katika uchaguzi mkuu ujao.