Skip to main content
Skip to main content

Saratani ya damu: Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa leukemia

  • | Citizen TV
    1,576 views
    Duration: 5:02
    Tunapozungumzia saratani, mara nyingi tunafikiria viungo kama vile matiti, mapafu, ini au utumbo. Lakini kuna aina nyingine ya saratani inayohusisha mfumo wa utengenezaji wa damu mwilini, leukemia, ambayo kwa Kiswahili mara nyingi huitwa saratani ya damu. Mwanahamisi Hamadi alizungumza na Daktari Brian Chibole kutoka Equity Afya Kenol, ambaye anafafanua zaidi kuhusu ugonjwa huo wa leukemia. Makala ya Siha na Maumbile inafuata sasa.