- 25,273 viewsDuration: 1:30Wanasayansi wanaamini kuwa sayari isiyojulikana, yenye ukubwa unaokaribia wa Mars, iligongana na Dunia takribani miaka bilioni 4.5 iliyopita, na inawezekana mabaki yake yakawa sehemu ya Dunia ya sasa Phyllis Mwatee anaelezea #bbcswahili #sayansi #angayajuu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw