Skip to main content
Skip to main content

Sehemu mbili za burudani zinazodaiwa kuwa na wachezaji walio uchi zafichuliwa Kirinyaga

  • | NTV Video
    18,040 views
    Duration: 1:36
    Sehemu mbili za burudani katika Kaunti ya Kirinyaga zinazodaiwa kuwa na wachezaji walio uchi zimefichuliwa. Moja ya sehemu hizo huendesha shughuli hiyo kila Ijumaa, huku nyingine ikidaiwa kufanya hivyo kila siku. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya