Skip to main content
Skip to main content

Seneti yalaumu NEMA na Kenya Pipeline kwa kuwatelekeza waathiriwa wa mafuta Thange

  • | Citizen TV
    434 views
    Duration: 3:21
    Kamati ya kawi katika bunge la seneti imeilaumu mamlaka ya usimamizi wa mazingira NEMA na kampuni ya kusambaza mafuta kenya pipeline kwa kuwatelekeza wakazi wa eneo la Thange walioathiriwa na mafuta yaliyovuja eneo hilo zaidi ya miaka kumi iliyopita. Kamati hiyo inasema swala hilo halijachukuliwa kwa uzito licha ya athari kubwa zinazowafika wakazi wa eneo hilo.