Skip to main content
Skip to main content

Serikali imepiga hatua ya kukomesha uwindaji haramu

  • | Citizen TV
    221 views
    Duration: 1:23
    Serikali imepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya uwidaji haramu wa wanyama wa pori. Ujumbe huu umetolewa na mkurugenzi mkuu wa shirika la huduma kwa Wanyama Pori nchini KWS, Erustus Kanga.