- 2,624 viewsDuration: 2:16Nao viongozi wa serikali jumuishi wameahidi upinzani kivumbi kikali kwenye uchaguzi mkuu ujao, wakisema Rais William Ruto hana ushindani kwenye kiti cha urais. Wakizungumza maeneo tofauti, wanasiasa hao wakiongozwa na mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga pia wameendelea kuukosoa upinzani kwa kile wanasema ni kukosa ajenda za maana. Boniface Barasa na mengi zaidi.