Skip to main content
Skip to main content

Serikali kufanya upya upimaji wa ardhi Kasemi kaunti ya Kwale kufuatia utata kuhusu hati miliki

  • | Citizen TV
    843 views
    Duration: 2:31
    Naibu msemaji wa serikali Mwanaisha Chidzuga amesema serikali itafanya upywa upimaji wa ardhi eneo la Kasemi huko Lungalunga kaunti ya Kwale, kwa wakaazi waliozua utata kuhusu hatimiliki walizopewa na Rais William Ruto.