- 10,262 viewsDuration: 1:15Serikali ya Sudan Kusini inawaomba raia wake nchini Kenya kuhalalisha kukaa kwao humu nchini kwa kuwa sasa inaendelea kuimarisha uhusiano wake na kenya. Balozi mpya wa Sudan Kusini nchini Kenya Simon Juach Deng anasema rais wa nchi hiyo wamefurahia uhusiano kati ya mataifa hayo mawili, hasa wa kikazi.