Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaanuia kukusanya zaidi ya ksh3.63t

  • | Citizen TV
    579 views
    Duration: 3:26
    Hazina kuu ya kitaifa yawasilisha bungeni bajeti ya shilingi trilioni 4.8 ya mwaka wa kifedha wa 2026/2027. Kwenye bajeti iliyosomwa bungeni serikali yasema kuwa yanuia kukusanya zaidi ya shilingi trilioni 3.63 kufadhili bajeti yake. Hata hivyo licha ya juhudi hizo za kukusanya fedha , bado kutakuwa na pengo la zaidi ya shilingi trilioni moja.