- 5,058 viewsDuration: 3:26Serikali imeanza kufidia familia ambazo mamia ya ng'ombe wao waliuawa kwa kupigwa risasi wakati wa operesheni ya usalama katika eneo la Losesia, kaunti ya Samburu, zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Katika awamu ya kwanza, ng'ombe 435 wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 wamekabidhiwa kwa zaidi ya familia 20 katika eneo la Naishamunye.