- 835 viewsDuration: 2:31Serikali imeanza kufidia familia zilizopoteza ng’ombe wao waliouawa kwa kupigwa risasi wakati wa operesheni ya kiusalama katika eneo la Losesia, Kaunti ya Samburu, zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Katika awamu ya kwanza ya fidia hiyo, ng’ombe 435 wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 wamekabidhiwa kwa familia zilizoathirika katika eneo la Naishamunye.