Skip to main content
Skip to main content

Serikali yahakikisha usalama wa watahiniwa wakati wa mtihani wa KCSE nchini

  • | Citizen TV
    374 views
    Duration: 1:06
    Serikali imewahakikishia watahiniwa wanaofanya Mtihani wa Kitaifa wa Sekondari (KCSE) kuwa hatua zote zimechukuliwa kuhakikisha wanafanya mtihani katika mazingira salama.