Skip to main content
Skip to main content

Serikali yahimizwa kutoa mikopo ya masomo kwa vyuo vya binafsi

  • | KBC Video
    102 views
    Duration: 1:37
    Serikali imehimizwa kupanua mikopo ya kimasomo inayotolewa kupitia kwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa vyuo vya mafunzo ya matibabu vya kibinafsi. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mpango wa udhamini wa masomo katika chuo cha mafunzo ya matibabu chaMac Millan, mkurugenzi wa chuo hicho. Moses Ochieng alisema hatua hiyo itawawezesha wanafunzi kutoka familia maskini kupata mafunzo bila pingamizi. Udhamini huo unanuiwa kuwasaidia wanafunzi wanaostahili kupata mafunzo na vyeti vya kuhudumu ili kupiga jeki huduma za afya humu nchini. Chuo hicho aidha kimezindua mpango wa ufadhili wa kimasomo ya kiteknolojia kwa wanawake wanaotaka kujitosa kwenye ulingo huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News