Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatetea miradi ya barabara Kajiado dhidi ya lawama za upinzani

  • | Citizen TV
    460 views
    Duration: 2:03
    Serikali imetetea miradi ya ujenzi wa barabara kaunti ya kajiado, ikisisitiza kuwa inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo licha ya lawama kutoka kwa upinzani.