Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaweka mikakati dhabiti kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua ya El Niño

  • | NTV Video
    235 views
    Duration: 2:31
    Sekta mbalimbali nchini katika wizara tofauti zimesema kuwa zinaweka mikakati dhabiti katika kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua ya El Niño, huku Idara ya Hali ya Hewa ikitabiri mvua ya kiwango cha juu kuliko kawaida katika maeneo mengi ya nchini kuanzia mwezi ujao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya