7 Oct 2026 1:14 pm | Citizen TV 334 views Duration: 2:21 Katibu wa idara ya Afya ya Umma, Mary Muthoni, amewahakikishia Wakenya kwamba hakuna mlipuko wa Ebola nchini, akisisitiza kuwa kisa kilichoripotiwa kilitoka nje ya nchi.