Skip to main content
Skip to main content

Shabana yaizamisha Mombasa United 3-2

  • | Citizen TV
    1,069 views
    Duration: 1:41
    Mechi tatu za ligi kuu ya KPL zimechezwa hii leo katika miji ya Mombasa, Narok na Embu. Masaibu ya Mombasa United yanazidi kuongezeka baada ya kichapo kingine cha mabao 3-2 dhidi ya Shabana. Mjini Embu, 3K FC imetoka sare tasa na AFC Leopards baada ya kupoteza penalti katika kipindi cha pili.