Skip to main content
Skip to main content

Shabana yaungana na timu tatu kwa pointi sita baada ya mechi nne

  • | Citizen TV
    884 views
    Duration: 1:29
    Timu ya Shabana FC imejiunga na timu nyingine tatu ambazo zimepata pointi sita baada ya mechi nne za Ligi Kuu ya Kandanda. Shabana imetoka sare ya bao moja kwa moja na timu ya Migori Youth katika uwanja wa Afraha mjini Nakuru. Murang’a Seal, Mara Sugar, AFC Leopards na Shabana FC zinashikilia nafasi za tatu hadi sita, zote zikiwa na pointi sita.